Kuchele Tastier Hot & Spicy PIZZA

Nitamu! Na Inashibisha!
WhatsApp Image 2023-08-18 at 1.29.47 PM
Chicken pizza

Kwa Hii Pizza ya Kuku Tumeweka vipande vya kuku Vilivyo wekwa Spicy za kutamanisha.

Order Now
WhatsApp Image 2023-08-18 at 1.30.44 PM
Prawns Pizza

Pata Kamba walio sheheni utamu Kwa viungo. Ni watamuu!

Order Now
WhatsApp Image 2023-08-18 at 1.32.16 PM
Vegetable Pizza

Una pendelea Maboga maboga na mboga za majani. Hili litakua chaguo lako, kwani upishi uliotumika Nikufanya uendelee kula hii Kuchele Pizza. Ina Shibisha!

Order Now

Tupo Hapa!

Mbagala Zakheem Karibu

Matokeo & Habari

Za Kuchele Pizza

Pata mikate ya kuchele

Kuchele Tastier Bread ina patikana kote Mbagala kwa bei nafuu kabisa.

fursa za 2023

Fursa hii bado ipo. Njoo au tupigye tukupe maelekezo zaidi +255786000101

leo msipike kuleni pizza

Waburudishe wana Famalia leo kwa Kuchele Pizza. Na una pata mkate wa Kuchele buree ununuapo hii Kuchele Pizza. TUSIPIKE LEO

vumbua nyota yako

Hawa ndo wanao ongoza kusajili na kutoa ushauri wa biashara Tanzania. Kujua zaidi wapigye simu +255744493888. Hata hii tovuti wamatengeneza wao

Tunakufikia Ulipo Faster:

Tupigiye

+255672000101 Kwa ODA yako

order-img1

Maoni Ya Wateja wetu

Some Of Our Happy Customers
‘Best pizza in the world. Have you ?
- John
‘Delicious and Hot, Pizza Just for you.’
-Brick
‘Freschetta. The fresh taste sensation.’
- Mariya

Wapishi Wetu

Tuna washukuru sana kwa Mchango wao na kujitolea kwao.
WhatsApp Image 2023-08-20 at 9.58.56 PM
John

Yummy Pizza.

team-img2
Juma

Made with perfection.

team-img3
Rashidd

Quality Packaging.

WhatsApp Image 2023-08-18 at 1.32.16 PM
Kuchele Tastier Hot & Spicy Pizza
Kuchele Tastier Hot & Spicy Pizza. Tunajuvunia u-Tanzania wetu
Kwa kutayarisha Kuchele Pizza Kwa kutumia mali ghafi ya Kitanzania,
Mboga mboga za Kitanzania, Sukari ya Kitanzania, Chumvi ya kitanzania, Cheese ya Kitanzania. Kwa Ufupi Ukila Kuchele Tastier Hot & Spicy Pizza , jua una paisha uchumi Wa Mtanzania mmoja kwa kutoa
Ajira, kuwapa wakulima soko la Uhakika kwa bidha zao. Kula Kuchele Tastier Hot & Spicy Pizza Kila siku
Scroll to Top