About

About Us

Tunajuvunia u-Tanzania wetu Kwa kutayarisha Kuchele Pizza Kwa kutumia mali ghafi ya Kitanzania, Mboga mboga za Kitanzania, Sukari ya Kitanzania, Chumvi ya kitanzania, Cheese ya Kitanzania. Kwa Ufupi Ukila Kuchele Tastier Hot & Spicy Pizza , jua una paisha uchumi Wa Mtanzania mmoja kwa kutoa Ajira, kuwapa wakulima soko la Uhakika kwa bidha zao. Kula Kuchele Tastier Hot & Spicy Pizza Kila siku!

Scroll to Top